MAREKANI : MAHAKAMA ya Juu nchini Marekani imetupilia mbali ombi la Rais mteule Donald Trump la kusitisha hukumu dhidi yake katika kesi ya uhujumu uchumi. Trump alipatikana na hatia ya kughushi ...
Baadhi ya maeneo ya Marekani yalifunikwa na theluji wikendi hii huku dhoruba kali ya msimu wa baridi ikikumba nchi nzima. Wakazi katika miji ya Syracuse, New York walipambana na upepo mkali kulima ...
Marubani wawili waliokolewa baada ya kutolewa salama kutoka kwa ndege yao ya kivita ya F/A-18. Na Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Idadi ya waliofariki kutokana na mkanyagano katika mji wa kusini ...
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaendelea kufanikisha malengo yake ya kufikisha elimu ya hifadhi ya jamii kwa makundi mbalimbali ya wananchi. Hivi karibuni, wajasiriamali wa Soko la Tegeta ...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonya dhidi ya matumizi ya fedha za kigeni katika kufanya miamala ndani ya nchi, ikisisitiza kuwa kitendo hicho si tu kinahujumu uchumi wa nchi, bali pia ni kinyume cha ...
Kuweka malengo ya kifedha ni hatua muhimu ya kuhakikisha unadhibiti fedha zako na kufanikisha mipango yako ya maisha. Malengo ya kifedha yanakupa mwongozo na nidhamu inayohitajika kufanikisha ...
Rais Joe Biden wa Marekani ametoa agizo la kuzuia mpango wa kampuni ya Nippon Steel kuinunua kampuni ya US Steel. Katika taarifa iliyotolewa jana Ijumaa, alisema kuna uthibitisho madhubuti kuamini ...
Afisa wa Hamas ameliambia shirika la habari la AFP kwamba kundi hilo "limekubali kuwaachilia wafungwa 34 wa Israel kutoka kwenye orodha iliyotolewa na Israel katika awamu ya kwanza ya mpango wa ...
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar leo Januari 8, 2025. Unguja. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ...
Mwaka huu, zaidi ya watoto milioni 3 walio chini ya umri wa miaka mitano wako katika hatari ya kukabiliwa na utapiamlo mkali nchini humo, kulingana na UNICEF. Imechapishwa: 11/01/2025 - 06:36 Dakika 1 ...