Matokeo hayo yameifanya Yanga kufikisha pointi 46 na kuendelea kuongoza msimamo wa ligi ingawa inaweza kupitwa na Simba ikiwa ...
MBINU za makocha Ahmad Ally (JKT Tanzania) na Miloud Hamdi (Yanga) zimeonekana kutoshana nguvu katika dakika 45 za kwanza ...
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Miloud Hamdi, ameweka wazi falsafa yake kuwa anapenda soka la kushambulia zaidi na kupatikana mabao mengi iwezekanavyo, akiwa tayari ameshawaelekeza wachezaji wake kufanya hi ...
Rekodi zinaonyesha JKT TZ katika mechi nane za nyumbani msimu huu imeshinda tatu na sare nne, haijapoteza, imefunga mabao saba na kuruhusu matatu, ina clean sheet sita.
MABINGWA watetezi, Yanga wamemkaribisha Kocha Mkuu mpya, Miloud Hamdi, kwa kupata ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya KenGold ...
Katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Yanga ya Kariakoo ilifungwa 2-1 mbele ya maelfu ya mashabiki wake Mei 28, 2023. Ilitinga fainali baada ya kuitoa timu ya Marumo Gallants ya Afrika ...
KIKOSI cha timu ya Yanga kimeanza kupiga hesabu kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar Februari 1, kikizitaka ...
Simba imemaliza unyonge dhidi ya Yanga kwa mwaka huu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam uliochezwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果