MBINU za makocha Ahmad Ally (JKT Tanzania) na Miloud Hamdi (Yanga) zimeonekana kutoshana nguvu katika dakika 45 za kwanza ...
Matokeo hayo yameifanya Yanga kufikisha pointi 46 na kuendelea kuongoza msimamo wa ligi ingawa inaweza kupitwa na Simba ikiwa ...
MABINGWA watetezi, Yanga wamemkaribisha Kocha Mkuu mpya, Miloud Hamdi, kwa kupata ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya KenGold ...
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Miloud Hamdi, ameweka wazi falsafa yake kuwa anapenda soka la kushambulia zaidi na kupatikana mabao mengi iwezekanavyo, akiwa tayari ameshawaelekeza wachezaji wake kufanya hi ...
KUNA mshtuko umetokea leo jioni kwenye mazoezi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wakati kikosi hicho kikijiandaa na mchezo wa ligi hiyo utakaochezwa kesho Jumatano Februari 5, ...
Dar es Salaam. Clement Mzize ameiongoza Yanga kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya KenGold leo kwenye Uwanja wa KMC ...
KIKOSI cha timu ya Yanga kimeanza kupiga hesabu kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar Februari 1, kikizitaka ...
NI ushindi pekee utakaoihakikishia Yanga kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika(CAFCL) katika mchezo wa mwisho wa michuano hiyo hatua ya makundi dhidi ya MC Alger kwenye uwanja wa Benjamin ...
Kufuatia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kukabiliwa na janga kubwa la kibinadamu huku mapigano makali mjini Goma yakiwaacha maelfu wakihitaji msaada wa haraka, Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu ...
Familia za waathiriwa zimekusanyika katika uwanja wa ndege huku mamlaka ikichunguza chanzo cha ajali hiyo. Na Asha Juma Tumepata uthibitisho kuwa watu 179 waliokuwemo kwenye ndege hiyo wamefariki.
Uwanja wa gofu wa Muthaiga ambao siku zote unavutia kwa rangi ya kijani kibichi iliyokolea, uliopo chini ya kilomita mbili kutoka barabara kuu ya Thika kwenye barabara ya Kiambu, kwa mara ya nne ...
Walinda amani kuendesha doria ya tathmini Majina ya walinda amani waliouawa yatajwa Uwanja wa ndege Goma bado umefungwa Mpaka wa DRC na Rwanda uko wazi kwa misingi ya kiutu Kipaumbele cha sasa kwa ...