Mwimbaji wa Bongo Fleva, Lady Jaydee, 45, mwaka huu unaadhimisha miaka 25 tangu ametoka kimuziki na sasa anaheshimika na wengi kama msanii aliyeweza kuwa katika kilele cha mafanikio ya kazi ...
MKALI wa Bongo Fleva kutoka TMK Wanaume Family, Chege kwa miaka zaidi ya 20 ametengeneza nyimbo nyingi kubwa ndani ya kundi hilo na akiwa pekee yake akifanya kazi na wasanii wa ndani na kimataifa.