LEO Januari 12, imedondokea siku ile ya Januari 12, 1964. Ilikuwa ni siku ya Jumapili kama leo. Katika siku hii, Watanzania wanaadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Wakati Wazanzibari ...
"Lazima tujiandae vizuri, na mimi niliyoyasikia hapa, bwana aah! Sijui labda kutokee mchawi na wachawi walishakufa, hawapo tena," alisema. Kikwete alisema wajumbe wa mkutano wanamtaka Samia na Mwinyi ...
DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 20. Rais wa Jamhuri ya ...
Dodoma/Dar. Kama kuna mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwenye ndoto ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu, basi asahau, kwani wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa chama hicho ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jatu Ltd, Peter Gasaya akiwa chini ya ulinzi wa askari Magereza, wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Picha na Maktaba Dar es Salaam. Mkurugenzi ...
KAMA ulidhani ilimpozuia straika Cesar Lobi Manzoki misimu miwili iliyopita ilitokea kwa bahati mbaya, basi umekosea kwani klabu ya Vipers imeendelea kuibania Simba. SIMBA Ubaya Ubwela. Wekundu hao wa ...
Wakati CD PROJEKT RED ilizinduliwa Mchawi IV katika Tuzo za Mchezo wa 2024, hawakuwapa mashabiki tu mtazamo wao wa kwanza katika ukurasa unaofuata wa upendeleo unaoadhimishwa. Walirusha mpira wa ...
Kijana Kwizera anakabiliwa na wakati mgumu kuwaelezea watu kuwa yeye si mchawi. ''Watu wananiomba niwafanyie dawa ya kuimarisha biashara zao juu washaniona vitu nafanya lakini hiyo ni probleme ...