Mchungaji Daniel Mgogo amesema kinachotokea kwa wanandoa kutozungumza hadi kuachana kama ilivyotokea kwa Dorice ni kiburi. Anasema mke anaweza kuishi kwa hisia kwamba mumewe anamfanyia ujeuri kutokana ...
Karibu wanawake 200 waliuawa nchini Kenya mwaka jana, katika matukio ya ukatili wa kijinsia. Idadi hii ambayo ni karibu mara mbili ya ile ya mwaka uliopita imetolewa na makundi yanayofuatilia ...
Visa vya saratani ya mapafu vinaongezeka kwa watu ambao hawajawahi kuvuta sigara, haswa miongoni mwa wanawake, kulingana na utafiti mpya wa taasisi ya saratani ya Shirika la Afya Duniani (WHO).
“Ukatili wa kijinsia umeendelea kuwa kikwazo kwa wanawake wanaochukua masomo ya STEM,” amesema Bi. Nguyen, akiongeza kuwa “Ripoti ya 2018 ya Sayansi za Taaluma ilibaini kuwa zaidi ya asilimia 50 ya ...
Je wajua! Leo hii wasichana na wanawake milioni 230 duniani kote ni manusura wa ukeketaji wanawake na wasichana, FGM? Je wajua kuwa FGM ni ukiukaji wa haki za binadamu unaosababisha majeraha makubwa ...
Picha: Kwa hisani ya Kituo cha Utamaduni cha Iran. Wanafunzi wa Kituo cha Kiislamu cha Hazrat Masoomeh wakishiriki katika mjadala; wakijifunga na mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu katika nyanja ya ...
Marcus Rashford ana matumaini ya kujiunga na Barcelona msimu huu wa joto, Atletico Madrid wanamfuatilia kwa karibu Jean-Philippe Mateta wa Crystal Palace, huku Manchester City inamchukulia Charles ...
Wanawake na watoto wakiwa mbele ya hema zao kwenye kambi ya wakimbizi ya ndani ya Lushagala huko Goma, mashariki mwa DRC, Februari 3, 2025. AFP - TONY KARUMBA Na: RFI na mashirika mengine ...
Dar es Salaam. Je, umewahi kufikiria ni sababu zipi zinawasababishia baadhi ya wanawake kupendelea kuwanunulia wapenzi wao singlendi, soksi au nguo za ndani ‘boxer’ wanapotaka kuwapa zawadi? Kwa ...
SHIRIKA Lisilo la Kiserikali linalojishughulisha na utoaji wa msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto (NERIO) katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara limetambulisha rasmi mradi wa Sauti ya ...
MABONDIA 16 wa timu ya Taifa ya ngumi, wameingia kambini jana Jumapili tayari kwa maandalizi ya ushiriki wa mashindano ya Ubingwa wa Dunia kwa Wanawake yatakayofanyika katika Jiji la Nis, Serbia Machi ...