WAKATI Simba Queens inaendelea kujiimarisha katika msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL), mshambuliaji wa timu hiyo, Jentrix Shikangwa, amefunga hat trick ya tatu msimu huu katika mechi ya ...
Je wajua! Leo hii wasichana na wanawake milioni 230 duniani kote ni manusura wa ukeketaji wanawake na wasichana, FGM? Je wajua kuwa FGM ni ukiukaji wa haki za binadamu unaosababisha majeraha makubwa ...
Dar es Salaam. Ikiwa imesalia miezi minane kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, wito umetolewa kwa wanawake kutambua kwamba tatizo la rushwa ya ngono linaweza kuwa kikwazo, ...
Karibu wanawake 200 waliuawa nchini Kenya mwaka jana, katika matukio ya ukatili wa kijinsia. Idadi hii ambayo ni karibu mara mbili ya ile ya mwaka uliopita imetolewa na makundi yanayofuatilia ...
Istanbul, Uturuki. Mtanzania anayekipiga Ligi Kuu nchini Uturuki, Novatus Miroshi ameendelea kuonyesha makali yake baada ya kufunga bao katika mchezo wa Ligi Kuu nchini humo akiifunga Fenerbahçe ...
MWIGIZAJI Irene Uwoya amemtakia heri Rais Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa hapo kesho na kutangaza zawadi aliyokuja nayo ni kuazisha kampeni ya mradi unaoitwa Jembe ni Mama lengo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果