Akiwa huko anasema hakuwahi kukosa nyama na mbogamboga lakini hakupata ugali na maharage, vyakula alivyozoea alipokuwa nyumbani. “Saudi Arabia hakuna ugali, ni wali na vingine kama viazi. Uji hamna, ...