Usiku wa Tuzo za Tanzania Comedy uliofanyika katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Februari 22, 2025, ulijaa hisia tofauti kwani washindi walisherehekea mafanikio yao baada ya kushinda ...