Mtoto wa mkulima, John Pombe Magufuli alichukua hatamu kama rais wa Tanzania kwa mara ya kwanza siku aliyotimiza miaka 56 na amekuwa kiongozi ambaye amevuta hisia mseto hasa, katika siku za hivi ...
Jumatano ya Machi 17, 2021, Tanzania iligubikwa na wingu zito la kumpoteza Rais aliyekuwa madarakani, Dk John Pombe Magufuli ...
Tanzania inaandika historia mpya. Katika historia hii jambo kubwa linalojadiliwa ni namna gani Rais mpya ataiongoza nchi kutoka yale mazuri na mabaya ya utawala wa marehemu John Pombe Magufuli.
DAR ES SALAAM; LEO imetimia miaka minne tangu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kilichotokea katika Hospitali ...
Tamasha la Magufuli Festival linatarajiwa kuadhimishwa kwenye nchi nne, ikitajwa kuwa ni sehemu ya kumkumbuka na kumuenzi Dkt ...
SERIKALI imesema itaendelea kumuenzi Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ...
KUELEKEA kumbukizi ya miaka minne ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dk. John Pombe Magufuli, Machi 17, 2025, maelfu ya Watanzania wamejitokeza kwenye matembezi ya amani kumuenzi kwa mambo ...
Leo ndiyo siku maalum kwa waombolezaji kumuaga Marehemu John Magufuli Rais wa awamu ya tano wa Tanzania kabla ya kuagwa kupumzishwa katika nyumba yake ya milele hiyo mnamo siku ya Ijumaa Chato ...
Hayati Magufuli alifariki Machi 17, 2021 katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam kwa maradhi ya moyo, kifo kilichohitimisha ...
Wakati leo Rais wa awamu ya tano, Dk John magufuli ametimiza miaka minne tangu afariki dunia Machi 17, 2021, baadhi ya ...