Kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 na marekebisho yake, nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho iko wazi ...
KATIKA sehemu ya kwanza ya ripoti hii kulikuwa na ushuhuda wa huduma ya choo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, wilayani Ubungo, Dar es Salaam, ikiwamo kukosekana mahitaji na huduma muhimu kwa watu ...
Oktoba, mwaka huu, CCM kitashiriki uchaguzi wa saba wa vyama vingi, huku kikitarajiwa kuibuka na ushindi kutokana na sababu ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli, aliyefariki dunia ghafla mweziMachi 2021, alionyesha dalili za uwazi alipoingia madarakani, hasa akiidhinisha vyombo vya ...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amekamatwa mara ... ya hadhara ya kisiasa iliyowekwa na mtangulizi wake John Magufuli, ambaye utawala wake wa chuma uliminya upinzani na uhuru ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amekutana kwa mara ya kwanza katika Ikulu jijini Dar es Salaam na jamii ya wafanyabiashara ndogondogo yaani wamachinga na ameahidi kutafuta suluhisho la ...
Kuna dalili za 'udikteta' serikalini Tanzania Nnauye: Bado naunga mkono juhudi za Magufuli Taarifa iliyotolewa na katibu mkuu kiongozi balozi John Kijazi imeeleza kuwa IGP Simon Sirro ataapishwa ...
Chama tawala nchini Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtangaza daktari John Magufuli kuwa mgombea wake wa kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu wa ujao. Daktari John Magufuli, alisajili ...