KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amepata pigo kubwa baada ya mshambuliaji wake Nicolas Jackson kupata majeraha makubwa yatakayomweka nje ya uwanja kwa muda mrefu tofauti na ilivyoripotiwa hapo awali.