Mahakama yaahirisha hadi Feb. 17 kusubiri upelelezi. MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imeahirisha kesi ya mauaji ya aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, Christina Kibiki hadi Fe ...
Amesema usafiri wa dharura na haraka ni muhimu katika kuokoa maisha ya mgonjwa, hivyo uongozi wa kituo hicho unapaswa ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema mafanikio ya kufikisha umeme kwa asilimia 100 vijijini yametokana na maono ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya nishati.
Iringa. Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika. Mwendesha ...
DAR ES SALAAM; SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...
Ametaja sababu nyingine ya Tanzania kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano huo muhimu ni mafanikio yaliyofikiwa katika sekta ya Nishati huku akitoa mfano wa mafanikio katika usambazaji wa nishati ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati ya vijiji 12,318 ambayo ni sawa na asilimia ...
"Ni jiji unaloweza kuishi ambapo maeneo ya vijijini na mijini yanawiana vyema, na jiji linajivunia sera nzuri za kutunza mazingira," anasema mkurugenzi wa Goyang Convention and Visitors Bureau ...
Safari yake ya kisiasa Alifanya kazi kuanzia 1999-2009 katika Timu ya Wanasheria wa Mazingira (LEAT), akipigania haki za maskini, jumuiya za vijijini, iwe dhidi ya ufugaji wa kamba wa viwandani au ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果