KLABU ya Yanga imesema kuwa itawatangaza wachezaji wake iliyowasajili kipindi hiki cha dirisha dogo, itakaporejea nchini kutoka Mauritania ambako jana usiku ilikuwa na kibarua cha mchezo wa Ligi ya ...
YANGA imeangalia mwenendo wa kikosi chake na kugundua kwamba kuna mambo madogo ambayo yakifanyiwa kazi, basi itatisha zaidi msimu huu kwani kuna mwanga wameanza kuuona. Achana na kuishia hatua ya ...
Yanga imeangalia mwenendo wa kikosi chao na kugundua kwamba kuna mambo madogo ambayo yakifanyiwa kazi basi watatisha zaidi msimu huu kwani kuna mwanga wameanza kuuona. Achana na kuishia kwao hatua ya ...
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani juzi, Jumamosi dhidi ya MC Alger ya Algeria.
DAR ES SALAAM; YANGA ya Dar es Salaam jana iliumana na MC Alger ya Algeria mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mchezo huo wa mwisho hatua ya makundi ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...
Yanga haitaki chochote Jumamosi hii zaidi ya ushindi mbele ya MC Alger. Hali hiyo imemfanya Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Sead Ramovic, kuchukua uamuzi mzito ili kuhakikisha wanatoboa. Ramovic ambaye ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa maandalizi ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuharakisha upatikanaji umeme kwa Waafrika milioni 300 ...
MAURITANIA;HESABU Yanga zimekubali. Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita kati ya Al Hillal na Yanga uliochezwa nchini Mauritania na Yanga kuibuka na ...
Uongozi wa Klabu ya Yanga, umesema sherehe za kuadhimisha miaka 89 ya timu hiyo kuzaliwa kwake zitafanyika kitaifa mkoani Mbeya. Hayo yamezungumzwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果