UTALII ni sekta muhimu katika mchango wa pato la taifa kutokana na Tanzania kujaliwa kuwa na vivutio mbalimbali kama vile mbuga za wanyama, fukwe na mambo ya kale. Sambamba na vivutio hivyo, kuna ...
Kisayansi oestrojeni ni homoni ya kike inayozalishwa na ovari (mayai) ambayo kazi yake kubwa ni kuhakikisha ukuaji wa viungo vya uzazi kama vile tumbo la uzazi (uterus), ovari na mrija wa fallopian na ...
SERIKALI imesema uwezo wa mitambo ya kufua umeme iliyounganishwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa hadi kufikia Desemba 2024 ni jumla ya megawati 3,091.71 ikilinganishwa na megawati 2,842.96 zilizokuwepo ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amekaribisha tangazo la makubaliano ya kusitisha mapigano na kuachiliwa kwa mateka Gaza, akiyataja makubaliano hayo kuwa ni hatua muhimu kuelekea ...
Mama mwenye umri wa miaka 52 (jina limehifadhiwa), mkazi wa Bagamoyo mkoani Pwani, amepitia changamoto kubwa ya kiafya baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe wa kilo 5.5 uliokuwa kwenye mfuko ...
Wizara ya afya imeidhinisha dawa ya kwanza ya matone ya Japani iliyotengenezwa kupunguza kasi ya kutoona mbali. Wizara hiyo jana Ijumaa iliidhinisha uzalishaji na uuzaji wa atropine sulfate hidrati.