Wanasema timu ya ubadilishanaji wa madaraka ya Trump imemualika Iwaya. Balozi wa Japani nchini Marekani kwa kawaida hualikwa hafla za kuapishwa, na siyo kawaida kwa waziri wa mambo ya nje kuhudhuria.
Watu wanasema kuongeza matumaini kwa kufanya maendeleo thabiti kuelekea kurejesha maisha ya kawaida ni muhimu. Tetemeko la Mwaka Mpya wa 2024 lilikuwa na ukubwa wa 7.6 katika kipimo cha Richter ...
Heri ya mwaka mpya 2025 msikilizaji wa RFI Kiswahili popote pale unapotegea sikio matangazo yetu na hasa makala ya Gurudumu la Uchumi, ni imani yetu kuwa nyote mbuheri wa afya. Makala ya Gurudumu ...
Treni za SGR zipo za aina mbili, ile ya kawaida na ile ya mchongoko (ya haraka) na kwa mujibu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) mpaka sasa zaidi ya abiria milioni moja wametumia usafiri huo kutoka Dar ...
Raia wa Chad walipiga kura hapo jana katika uchaguzi mkuu ambao serikali imeusifu kuwa ni hatua muhimu ya mpito wa kisiasa, baada ya miaka mitatu ya utawala wa kijeshi. Hata hivyo uchaguzi huo ...
Akihubiri kwenye ibada hiyo, Padri John amesema wanandoa kuadhimisha Jubilei ya miaka 75 si jambo la kawaida katika dunia ya sasa. "Wanafanya Jubilei ambayo haipatikani kwa urahisi na wana afya nzuri.
Kwake, shauku hii inaweza kuelezewa na hali isiyokuwa ya kawaida ya chaguzi hizi tatu za wakati mmoja. Inaelezwa pia kwamba uchaguzi uliopita wa wabunge ulifanyika mwaka 2011. Inatokea sasa hivi ...
MRADI mkubwa wa Reli ya Kisasa (SGR) nchini Tanzania, ambao unalenga kuboresha usafiri wa abiria na mizigo, umeendelea na mafanikio makubwa baada ya uzinduzi rasmi wa huduma za treni za abiria kutoka ...
Dar es Salaam. Mabehewa ya mizigo 264 yatakayotumika katika reli ya kisasa (SGR) yaliyotengenezwa nchini China yamewasili katika Bandari ya Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), ...