Tangazo la jiji pia linawahusu wafanyabiashara wa migahawa na hoteli. Kwa kawaida mama na babalishe hutumia hadi majiko matano kwa wakati mmoja katika mapishi ili kuhudumia idadi kubwa ya wateja.
JINA la Mwakyembe sio geni kwa wenyeji wa Soko la Mabibo, Dar es Salaam ambalo ni maarufu kama Mahakama ya Ndizi, lakini ni geni kama utakuwa mgeni katika soko hilo. Emmanuel Mtewele ndio majina yake ...
Wakati huo huo, Roselène alisimamia nyumba yao ndogo. Alitayarisha milo na akaongeza kipato cha familia kwa kuuza patés na ndizi za kukaanga kwa majirani. Maisha yao ya kila siku yalikuwa ya kawaida ...
Utafiti mwingine kutoka Journal of Nephrology wa mwaka 2018, ulionyesha umuhimu wa kula kifungua kinywa kilicho na virutubisho muhimu, kwa afya ya figo ambavyo ni matunda, mboga na vyakula vyenye ...