JINA la Mwakyembe sio geni kwa wenyeji wa Soko la Mabibo, Dar es Salaam ambalo ni maarufu kama Mahakama ya Ndizi, lakini ni geni kama utakuwa mgeni katika soko hilo. Emmanuel Mtewele ndio majina yake ...