Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Kitaifa la Afrika Kusini (SANDF), Jenerali Rudzani Maphwanya, amejibu kauli ya Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusu mchango wa vikosi vya ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Ki ...
Wakuu wa Majeshi ya Korea Kusini wanasema wanaamini Korea Kaskazini ilirusha makombora kadhaa ya balistiki ya masafa mafupi leo Jumanne asubuhi. Yalipaa upande wa mashariki kuelekea Bahari ya Japani.
Korea Kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi siku ya Jumanne, Januari 14, jeshi la Korea Kusini limetangaza, siku chache kabla ya kuapishwa kwa Donald Trump na wiki moja baada ya ...
KOREA KUSINI : SERIKALI ya Korea Kusini imesema kuwa Korea Kaskazini imefyatua makombora ya majaribio ya masafa mafupi kuelekea baharini, huku rais mteule wa Marekani, Donald Trump, akiwa karibu ...
Korea Kaskazini inawahimiza wanajeshi wake waliotumwa Urusi kupigana dhidi ya Ukraine kujiua ili kuepusha kukamatwa, mbunge wa Korea Kusini amesema leo Jumatatu Januari 13, akinukuu idara ya ...
Pyongyang. Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa ya kati ikiwa ni mwendelezo wa majaribio yake ya silaha. Kombora hilo limerushwa wakati ambao Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony ...
Kila mzungumzaji ana saini ya kipekee ya sauti, ambayo tunaita sifa. Kwa kuchanganua wigo wa sauti, algoriti za kujifunza kwa mashine zinaweza kuainisha, kwa kutumia Mel Frequency Cepstral ...