JUKWAA la Kitaifa la Asasi za Kiraia la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwa kushirikiana na Mwenyekiti wa Kanda wa Jukwaa la Asasi za Kiraia, wametoa wito wa kusitishwa kwa mapigano DRC kwa ...
Dar es Salaam. Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Ulaya (EUSR) kwa Ukanda wa Maziwa Makuu, Johan Borgstam anaitembelea Tanzania kuanzia Januari 16 hadi 18, baada ya kufanya ziara Burundi, DRC, Rwanda, ...
Katika swali la msingi, Najma amehoji Serikali imejipangaje kuhakikisha watoto wachanga wa wasichana wanaoendelea na masomo wananyonya maziwa ya mama zao kwa wakati. Akijibu swali hilo, Kipanga ...
Kwa kuzingatia hifadhi kubwa ya mafuta iliyopatikana katika eneo la Maziwa Makuu na nchi Jirani za Uganda na DR Congo, kuna uwezekano mkubwa wa kupata hifadhi ya mafuta katika ardhi ya Rwanda.
Kwa upande wa uvuvi taarifa ilibainisha kuwa uzalishaji wa maziwa umeongezeka kutoka lita bilioni 3.1 mwaka 2020 hadi lita bilioni 3.97 mwaka 2024 kulikochagizwa na ongezeko la ng’ombe wa maziwa ...