Kwa upande wa uvuvi taarifa ilibainisha kuwa uzalishaji wa maziwa umeongezeka kutoka lita bilioni 3.1 mwaka 2020 hadi lita bilioni 3.97 mwaka 2024 kulikochagizwa na ongezeko la ng’ombe wa maziwa ...
Dar es Salaam. Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Ulaya (EUSR) kwa Ukanda wa Maziwa Makuu, Johan Borgstam anaitembelea Tanzania kuanzia Januari 16 hadi 18, baada ya kufanya ziara Burundi, DRC, Rwanda, ...