nini hatma ya Odinga na siasa za Kenya? Chanzo cha picha, Reuters Raila Odinga ana umri wa miaka 80 sasa, zaidi ya nusu ya umri wake ameutumia kwenye siasa za Kenya. Hakuna shaka, ukizungumza ...
Baada ya raundi saba za upigaji kura, Raila Odinga alijiondoa kwenye kinyang'anyiro alipopata matokeo ya chini. Safari ya aliyekuwa Waziri Mkuu nchini Kenya Raila Odinga kuwa Mwenyekiti wa Tume ya ...
Nchi mbalimbali zimetuma wakilishi kuanzia katika ngazi ya serikali, taasisi, mashirika yasiyo ya kiserikali na asasi za kiraia. Mmoja wa wakishiriki hao kutoka Kenya na Mary Wambui Munene akizungumza ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya, Korir Sing’oei, ameipuuzilia mbali barua kutoka kwa Sekretarieti ... ambapo nchi wanachama zilitakiwa kuunga mkono wagombea wa kikanda kwa nafasi za juu ...
Nairobi, Kenya – Waandishi wa habari za michezo nchini Kenya Ijumaa wiki hii, walipitishwa hatua kwa hatua kabla ya makala ya 56 ya michuano ya gofu ya kimataifa ya Magical Kenya Open (MKO ...
Nchi mbalimbali zimetuma wakilishi kuanzia katika ngazi ya serikali, taasisi, mashirika yasiyo ya kiserikali na asasi za kiraia. Flora Nducha wa Idhaa hii amepata fursa kuzungumza na Mary Wambui ...
umeongozwa kwa pamoja na Mwenyekiti wa EAC na Rais wa Kenya, Wiliam Ruto na Mwenyekiti wa SADC na Rais wa Zimbabwe, Dk. Emmerson Mnangagwa. Mkutano huo, uliohudhuriwa na marais kutoka jumuiya hizo, ...
Kutoka kwa mwandishi wetu maalum mjini Addis Ababa, Wagombea watatu wako kwenye kinyang'anyiro hicho: Raila Odinga kutoka Kenya ... wa kupiga kura katika Umoja wa Afrika. Katika wiki za hivi ...
Picha na Beldina Nyakeke Musoma. Mfumo wa usajili wa maombi na taarifa za wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kupitia mtandao wa 'Wezesha Portal' umekumbwa na changamoto ...
matumaini ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ya kupata uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika yameingia shakani. Hiyo ni kufuatia Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ...
ADDIS ABABA, Ethiopia — Mkutano wa 38 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika umeanza mjini Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano umeanza kwa wimbo wa Umoja wa Afrika kisha kutolewa hotuba ...
Iwapo mkwamo huu utahusu nafasi ya naibu mwenyekiti, kamishna mwandamizi zaidi atateuliwa kuchukua nafasi hiyo kwa muda hadi uchaguzi mpya ufanyike. Mwaka 2017, Amina Mohamed wa Kenya alipata kura 16 ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果