Waziri wa Ardhi, Nyumbani na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi. WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM wamebainisha kukubali na kuridhishwa na uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Stephen ...
WATU watatu wilayani Gairo, mkoani Morogoro wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuhusika na wizi wa nondo za ujenzi wa Shule ya Msingi ya Amali katika kijiji cha Kwipipa, kata ya Iyogwe ...
Nairobi, Kenya – Mkutano wa jinsia wa Afrika Mashariki wa 2025 ambao umekamilika hii leo jijini Nairobi nchini Kenya, ulipea kipau mbele masuala ya dhulma ya jinsia GBV katika juhudi za ...
Changamoto hii inazidishwa na uwepo mkubwa wa mabaki ya vilipuzi hatari (EO) pamoja na uwezekano wa kuenea kwa asbestosi, haswa katika kambi za wakimbizi wa ndani zilizoathirika vibaya. Changamoto za ...
CONGO: WAFANYAKAZI wawili katika ubalozi wa Kenya katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, walilazimika kutoroka na kutafuta hifadhi baada ya waandamanaji kuvamia jengo hilo na ...
Karibu wanawake 200 waliuawa nchini Kenya mwaka jana, katika matukio ya ukatili wa kijinsia. Idadi hii ambayo ni karibu mara mbili ya ile ya mwaka uliopita imetolewa na makundi yanayofuatilia ...
Juhudi za kushinikiza mhamo kutoka matumizi ya nishati chafuzi ya magari na kuhamia kwenye matumizi ya magari ya umeme ya nishati safi zimeanza kuonekana. Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa ...
Kenya. Wahudumu wa afya nchini Kenya wameanza mgomo leo Jumatatu Januari 20, 2025, baada ya zuio la siku 14 lililotolewa kwa serikali na Chama cha Matabibu nchini Kenya (Kuco) kutimia, bila ...
Katika hospitali kuu ya rufaa hapa Pwani ya Coast general, shughuli za matiibabu zimekwamba huku ... Kwa upande wake, waziri wa afya nchini Kenya, Debora Barasa amesema wameanza kufanya mazungumzo ...
Rais Museveni na mkewe Janet walikimbia Uganda katika miaka ya 1970 wakihofia utawala wa kidikteta wa Idi Amin. Walipofika Kenya, walikuwa salama na walikubalika kwa urahisi. Kenya ilikuwa sehemu ...
Wajibu wa afisa huyu nchini Kenya ni kama ifuatavyo- Kutangaza matokeo ya uchaguzi katika kitengo maalum cha uchaguzi Kutia saihni fomu rasmi za kutangaza matokeo (34 A) Kutuma matokeo rasmi kwa ...
Chanzo cha picha, Getty Images Na kufuatia tangazo la kifo chake viongozi mbali mbali nchini Kenya wameanza kutuma risala za rambirambi kwa famili ya Mwai Kibaki. Kiongozi wa upinzani nchini Kenya ...