Hapo ndipo anapopatikana mwanafunzi wa shahada ya uzamivu, kutoka nchini Benin, Marie Marthe Chabi, akipaishwa na utafiti wake katika sekta ya afya, akilenga ugonjwa unaozidi kuathiri Waafrika; ...
Mtaalamu huyo wa magonjwa ya ndani (Endocrinologist) pia anafanya kazi na watoto wenye ugonjwa wa kisukari aina ya kwanza, kisukari cha ujauzito, dalili za kimetaboliki na matatizo ya moyo ...
Ugonjwa wa kisukari unahitaji udhibiti wa makini wa lishe, kwani chakula kinachochaguliwa na jinsi kinavyoliwa kinaweza kuwa na athari kubwa kwa kiwango cha sukari mwilini. Hivyo basi, kwa wafanyakazi ...
Pia, mtaalamu huyo amekuwa akiwasaidia watoto wenye ugonjwa wa kisukari aina ya kwanza, magonjwa ya kurithi, maradhi ya moyo yaliyochochewa na matumizi ya dawa za kufubaza maambukizi ya Virusi vya ...