Mfanyabiashara wa ndizi, Robert Kiato, alisema bei hizo za vyakula zinaweza kupanda zaidi kadri ... 3,000 na mafuta ya kupikia lita moja Sh. 5,000 kutoka Sh. 4,500. Bei ya samaki aina ya sato imepanda ...
Baadhi ya mikungu ya ndizi ikiwa imepangwa kwenye soko la Mamsera Rombo. Rombo. Wakulima wa ndizi zaidi ya 30 kutoka Kata ya Maharo, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro, wameungana na kuanzisha ...
Moshi. Ugonjwa wa fungashada wa migomba umeleta kilio kipya kwa wananchi wanaolima na kutegemea kilimo cha ndizi, kwa ajili ya chakula na biashara katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Ugonjwa ...
Ghana imepiga marufuku samaki wote wa tilapia wanaoingizwa chini humo kufuatia kuzuka kwa virusi ambavyo ni hatari kwa sekta yote ya tilapia kote duniani. Virusi hivyo vinayojulikana kama Tilapia ...