Muda mfupi baada ya kuapishwa rasmi, Trump alisisitiza kauli yake ya kwamba “kuna jinsia mbili tu” – ya kiume na ya kike, akifuatia kwa kusema kuwa ataendeleza juhudi za kukomesha uhamiaji haramu na ...
Aidha amesema sasa hivi kuna janga kubwa la watoto wa kiume ambao tunawasemea vibaya huku malezi na makuzi yao yakiwa hayaendani na yale ya watoto wa kike, hivyo kutaka wazazi kuboresha malezi kwa ...
Binti mmoja aliandika kwenye mtandao wa kijamii akilalamika kwamba, kuna rafiki yake wa kiume, ni rafiki, siyo wapenzi, alimtafuta na kumuomba waende kutembea mbuga za wanyama wikiendi moja. Binti ...