Asilimia 80 ya Mji Mkongwe wa Mosul, kwenye ukingo wa magharibi wa Tigris, uliharibiwa wakati wa uvamizi wa IS kwa miaka ...
SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson amewaomba watanzania kuombea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ili wapatikane viongozi bora na wema watakaoongoza taifa liendelee kuwa na amani. Dk. Tulia alitoa rai hiyo jan ...
Tunaweza kupokea fidia unapobofya viungo vya bidhaa tunazokagua. Tafadhali tazama yetu kufichuliwa kwa ushirika. Je, unajua kwamba chapa thabiti inaweza kuongeza mapato ya kampuni hadi 33%? Bado, ...
Dar es Salaam. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na ...
Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania (KKKT) wakimuweka wakfu Askofu Oscar Lema (katikati) kuwa Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki Ziwa Victoria. Ibada hiyo imefanyika leo Jumapili ...
Hivyo ni wazi kuwa kutambulishwa kwa Ikangalombo kunatoa mwanya wa Baleke kuondolewa kikosini kabisa kwani tayari aliacha kuonekana kwenye uwanja wa mazoezi lakini pia kwenye misafara ya timu hiyo ...
Pape Francis, kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa Kanisa la Kikristo la Katoliki alitoa kauli iliyoibua hisia . Kauli yake kuhusu wazo kwamba mapadre wa Kikatoliki wanaweza kuoa ilisababisha mjadala ...