Urusi iko tayari kwa mazungumzo lakini haioni "nia njema" kwa upande wa Ukraine, Vladimir Putin amesema katika mahojiano kwenye televisheni ya serikali, akifutilia mbali kwa muda kuwa mazungumzo ...
‘Kulambishwa asali’ ni msemo unaobamba siku hizi mitaani na hata kwenye mitandao ya kijamii, lakini msemo huo unawalenga zaidi wanasiasa, hususan viongozi au waliokuwa viongozi ndani ya vyama ...
MKAZI wa Galagaza, Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Melkisedeck Mrema amenusurika kufa baada ya kutumbukizwa kwenye shimo la choo na watu waliovamia nyumbani kwake na kumteka mtoto na mke wake. Saa 10 ...
Akizungumza kuhusu hali hiyo, Rais Chapo alisema utawala wake unalenga kuboresha hali ya uchimbaji madini nchini Msumbiji ili kuwazuia vijana kutoka nchini humo kuvuka mpaka kwenda Afrika Kusini na ...
inashika nafasi ya 12 baada ya kukusanya pointi 24 katika mechi 20. Si rekodi tamu sana na ndio maana hata kocha wao alikuwa kwenye kitimoto, akidaiwa kuwa kwenye hatari ya kufutwa kazi. Lakini, ...
Unguja. Mamalishe wa Soko la Kinyasini, lililopo Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wamelalamikia kukosa huduma ya choo, jambo linalowalazimu kufungiana kanga kujiziba wanapokwenda ...
Mkoa wa Tanga umekusanya shilingi bilioni 5.3, sawa na asilimia 25 ya lengo, kupitia zoezi la uuzaji wa Hatifungani ya Miundombinu (Samia Infrastructure Bond). Zoezi hili linaendeshwa kwa ushirikiano ...
Foleni ndefu zimeshuhudiwa mapema leo katika vituo vingi ya kupigia kura nchini Kenya, ambapo kulingana na wanahabari wetu waliopo mashinani, Wakenya wamepanga foleni kuanzia saa kumi alfajiri ili ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果