Nashangaa sikuwa na woga, wala hofu, nilikubali na akanikalisha kwenye meza na kunilisha ndizi kibao na kuwaambia watazamaji kuwa punde atanipasua na kuzitoa ndizi nilizokula. Watu walinyamaza katika ...