Shirika la Ndege la Afrika Kusini (SAA) limezindua rasmi safari zake za kila siku kati ya Johannesburg, Afrika Kusini, na Dar es Salaam, Tanzania, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi ...
Ni saa 48 za moto, kutokana na uhalisia wa ushindani unaosababishwa na nguvu na ushawishi walionao wagombea wa nafasi mbalimbali za kukamilisha safu hiyo ya uongozi. Katika saa 24 za kwanza, ...
Besigye, aliyekuwa daktari wa kibinafsi wa Rais Yoweri Museveni, alikamatwa katika mazingira ya kutatanisha mwezi Novemba ...
Besigye, aliyekuwa daktari wa kibinafsi wa Rais Yoweri Museveni, alikamatwa katika mazingira ya kutatanisha mwezi Novemba ...
Amesema kumeibuka wimbi la vijana kutojihusisha na shughuli zozote za kiuchumi na badala yake wakati wa saa za kazi wamekuwa wakicheza michezo hiyo ambayo ni hatari kwa maendeleo ya mkoa huo. Mbali na ...
Jeshi la Israel kwa upande wake liliripoti kulenga kile lilisema ni ngome 50 za adui katika kipindi cha saa 24. Picha za shirika la habari la AFP zimeonyesha raia wa Palestina wakiwaomboleza ...
Kuanzia saa za kwanza za kusitisha mapigano siku ya Jumapili, misaada ya kibinadamu ilitiririka hadi katika eneo lililoharibiwa la Palestina, ambapo malori 630 yaliingia wakati wa mchana ...
mkoani Saitama majira ya saa 3:40 jana Jumanne asubuhi kwa saa za Japani, na gari la mizigo kutumbukia kwenye shimo ambalo lilikuwa na upana wa mita takribani 10 na kina cha mita 5. Polisi ...
Mji wa Obihiro mashariki mwa Hokkaido umepata tena theluji ya sentimita 120 iliyodondoka katika kipindi cha saa 12 hadi saa tatu asubuhi Jumanne iliyopita kwa saa za Japani. Takwimu hiyo ni rekodi ...
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Marco Rubio, ameidhinisha "Hati ya Dharura ya Kibinadamu," ambayo itawezesha watu kuendelea kupata matibabu ya VVU yanayofadhiliwa na Marekani katika nchi 55 ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果