Kulikuwa na wanawake 100 hapo kutoka nchi 17 na wakakubaliana kwa pamoja. Kwa mara ya kwanza ilisheherekewa mwaka 1911, Austria, Denmark,Ujerumani na Switzerland. Sherehe ya 100 ilifanyika mwaka 2011, ...
SANTOS, BRAZIL: GUNDU la siku ya kuzaliwa dada yake Neymar limemkumba tena supastaa huyo wa Kibrazili ambapo kwa mara ya 10 fowadi huyo anakosa mechi na kushindwa kutumikia timu yake kwenye siku ya ...
Dodoma. Idadi ya tembo katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeongezeka kutoka 800 hadi 1,300 katika kipindi cha miaka minne, huku simba wakifikia 188. Aidha, uongozi wa hifadhi hiyo umewaalika ...
Jaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Dk Modesta Opiyo( kulia) akiwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Salma Maghimbi (kushoto) wakifuatilia mada mbalimbali zilizotolewa ...
Dodoma, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilifunika. Chama hicho kilifanya sherehe ya kukata na shoka katika kuadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake. Uwanja wa Jamhuri ulijaa na baadhi ya waliotaka kushuhudia ...
Chhatarpur, Madhya Pradesh: Rais wa India, Smt Droupadi Murmu, alisherehekea sherehe ya Harusi ya Misa, iliyoandaliwa na Shri Bageshwar Jan Seva Samiti, huko Gadha, Chhatarpur, Madhya Pradesh leo ...
ASILIMIA 67 ya watoto wenye umri wa miaka 10 hadi 17 wanatumia mitandao ya kijamii na asilimia nne kati yao wakikabiliwa na ukatili wa aina mbalimbali. Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Mtoto, ...
Mzunguko wa mazoezi kabla ya mashindano. Matumizi ya mikokoteni, maeneo ya mazoezi na mipira ya mazoezi siku za mashindano. Kinywaji cha kukaribisha ukifika na chakula cha mchana siku za mashindano.
MCHEKESHAJI mkongwe, Lucas Mhavile ‘Joti’ ameng’ara baada ya kutwaa tuzo mbili huku mchekeshaji Leonard Datus ‘Leonardo’ akishinda tuzo ya mchekeshaji bora wa jumla kwa wanaume na wanawake katika ...
UNAUKUMBUKA ule mkoba mkubwa wa msanii wa Bongo Movie na mfanyabiashara Jacline Wolper aliotinga nao kwenye harusi ya Aziz KI na Hamisa Mobeto, amefunguka kila kitu baada ya kuona umekuwa gumzo kwenye ...