VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba imeweka wazi sababu za kutofanya ... Alisema pia kikosi chao kinaendelea vyema na mazoezi kwa ajili ya mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya michuano ya Kombe ...
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa Kundi A katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku wachezaji wa timu huo wakitoa msimamo mzito kabla ya kushuka kwenye ...
KOCHA wa Simba SC, Fadlu Davids ameweka wazi timu yake inajivunia kufuzu robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini amesisitiza bado wanakusudia kufanya jambo wakiwa Kwa Mkapa. Mchezo wa ...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya kutangazwa kwa adhabu ya kuizuia Simba kucheza bila mashabiki katika mechi yake ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ...
Adhabu hiyo imekuja baada ya kutokea vurugu katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu dhidi ya CS Sfaxien uliofanyika Desemba 15, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, ...
BAO la dakika ya nane ya nyongeza lililofungwa na winga, Denis Kibu, liliiwezesha Simba kupata ushindi ... Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana na kuendeleza rekodi yake nzuri inapocheza ...
Kutokana na ushindi huo, Simba sasa imefikisha pointi 9 kwa michezo minne iliyocheza na kujijengea mazingira mazuri ya kufuzu Robo Fainali ya michuano hiyo.
Lakini leo amesema kuwa kilichotokea kwenye akaunti zake hapo jana baada ya mchezo kati ya Simba na Mtibwa ni cha 'bahati mbaya' na kuwa wameelekeza nguvu yao kwenye kujipanga kwa ajili ya ligi ...