TANGU ilipofanyiwa marekebisho mwaka 1992, Ligi Kuu England (EPL), imekuwa nyumbani kwa wanasoka bora na wakubwa wa wakati wote. Kuanzia miaka ya mapema ya Ligi Kuu, magwiji kama Eric Cantona hadi ...
WFP ilisaidia kundi hili la vijana wakapata mafunzo kuhusu ufugaji wa wadudu katika moja ya vyuo vikuu nchini Kenya. Wanawafuga katika makasha madogo madogo ya mbao, ndani wameweka trei za kubebea ...
Abdalla Seif Dzungu Chanzo cha picha, Getty Images Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown amejumuishwa pamoja na wasanii kutoka Nigeria katika kitengo cha Msanii bora wa Afrika katika tuzo za 2025.
Kikundi hiki, kilichoitwa Rwandan Patriotic Front (RPF), kilikuwa kinadai uwakilishi bora wa Watutsi katika serikali ya Rwanda, ambayo wakati huo iliongozwa na wanasiasa kutoka kwa kabila la Hutu.
pia wajihadhari na kupenda pesa kwani pesa nyingine ni za maagano ya kuzimu” Alex MSAma Alex Msama ni mdau mkubwa wa Muziki wa Injili na Hivi karibuni alipokea tuzo ya heshima ya kuwa muandaaji bora ...
wakali wa rodeo na Kulia akiwa amevalia mavazi ya hudhurungi ya cowgirl na kofia nyangavu ya waridi. Ameteuliwa katika vipengele viwili, rapper Doechii alikuwa na moja ya maonyesho yaliyozungumzwa ...
MOTO wa straika wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Clara Luvanga haupoi na safari hii anawania tuzo ya mchezaji bora wa mwezi mbele ya Waarabu. Tuzo hizo zinatolewa kila mwezi zikiangazia wachezaji watatu ...
hali inayotoa uwezo mkubwa wa kuonyesha dunia njia mpya ya maendeleo ya kiuchumi yenye msingi wa uendelevu, uvumilivu, haki, na ushirikishwaji". Akisistiza uhusiano baina ya nishati na maendeleo ...
Mwaka 2025 katika mchezo wa ngumi za kulipwa umeanza kwa moto wa kutosha kwa mabondia wa mchezo huo kutokana na kuendelea kuvunja rekodi katika orodha ya viwango vya mabondia bora wa Tanzania yaani ...
Lakini simu aliyopigiwa miezi kadhaa baadaye alipokuwa mtaani kwao huko Nakuru, iligeuza hali yake katika safari ya kurejea kwenye uwanja wa soka, hadi sasa kukaribia kushinda Tuzo ya Ufungaji Bora ...
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema maboresho ya mahakama ya kiutendaji na mifumo lazima viende sambamba na upitiaji wa sheria ambazo zimepitwa na wakati na zile ambazo ni kikwazo ...