Kamanda Chillya alisema mtoto huyo ni wa mfanyabiahara wa saluni, Gabriela Hinju (24) Mkazi wa Mji Mwema Manispaa ya Songea. Kwa mujibu wa kamanda, mwanamke huyo alitoa taarifa katika Kituo Kikuu cha ...
Wazazi na walezi wanahangaika huku na kule kusaka mahitaji, huku bei za bidhaa zikiwa tayari zimepaa. Kwa wafanyabiashara ni msimu wa kutengeneza faida kupitia vifaa vya shule kutokana na bei ...
Jukumu lao kuu ni kuhakikisha kuwa miradi ya AI inalingana na malengo ya biashara na mahitaji ya wateja. Wanazingatia kufafanua vipengele vya bidhaa, uzoefu wa mtumiaji, na mikakati ya muda mrefu.
DAR ES SALAAM :OFISI ya Rais Mipango na Uwekezaji imeshauri vyama vya siasa kuweka Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kuwa sehemu ya ilani za vyama ili kuwa na muelekeo mmoja na kufanikisha malengo ya ...