Jeshi la Sudani Kusini lilitekeleza mashambulizi ya anga usiku wa Jumapili, Machi 16, kwenye mji wa Nasir, huko Upper Nile ...
Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la ...
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania, ziizopo Kampala nchini Uganda na kufanya ...
Ameeleza pia Septemba, 2021 watu 10 walifariki kutokana na ajali ya boti kwenye ufukwe wa Pier Beach Homabay nchini Kenya.
“Pia tumeazimia kuchakata na kufanya biashara ya kahawa angalau asilimia 50 ndani ya Bara la Afrika ifikapo mwaka 2035, na ...
WATU 700 wamepatiwa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika maonesho ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, ...
Akijitahidi kuwa mkakamavu, mkusanyaji takataka Okuku Prince mwenye umri wa miaka 22 anakumbuka wakati mwili wa rafiki yake ...
Licha ya miaka 62 tangu Uganda kupata uhuru wake kutoka kwa Uingereza, barabara nyingi mjini Kampala bado zinatumia majina ya ...
Akiwapokea rasmi kwa niaba ya serikali ya Uganda, waziri wa masuala ya Kaskazini ... ya Kati pamoja na ile ya Uholanzi kwa kuwezesha watu 157 waliokuwa waasi wa LRA kurudi nchini katika kipindi ...
“Mchango wa Korea Kusini ikijulikana rasmi kama Jamhuri ya Korea, utawezesha WFP kusaidia zaidi ya watu 158,000, wakiwemo wakulima wadogo, wafugaji, vijana na wanawake,” imesema taarifa hiyo. Lengo ni ...
SERIKALI ya Uganda imetangaza kuiondoa kesi dhidi ya mpinzani, Kizza Besigye kutoka mahakama ya kijeshi na kuihamisha kesi hiyo kwenye mahakama ya kiraia. Hatua hiyo imetokana na maamuzi kutoka ...
Katika chapisho lingine, alidai bila kutoa ushahidi kwamba watu wa kabila la Bahima kutoka Uganda wamekuwa wakishambuliwa nchini DRC. "Watu wangu, Bahima, wanashambuliwa. Hiyo ni hali ya hatari sana ...