Doto Biteko kwenye Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la kisekta la Nishati, Petroli na Madini la Jumuia ya Afrika Mashariki Jijini Arusha. Baraza la kisekta limekutana kujadili miradi ambayo ...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam unaendelea kuimarika kupitia vyanzo vya Ruvu Juu na Ruvu Chini. Ameeleza kuwa ...