KAMATI ya Siasa na Diplomasia ya Kati ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-ISPDC), imekutana jijini Dar es Salaam, kujadili masuala ya usalama wa kikanda, ikiwa ni pamoja na mgogoro ...
Nenda kwenye ukurasa wa kwanza / Afrika Mashariki mwa DRC: Shinikizo la Ulaya laongezeka dhidi ya Rwanda Mawaziri 27 wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekutana mjini Brussels siku ya Jumatatu ...
Wanajeshi hao ni miongoni mwa askari wa SANDF walioko chini ya Kikosi cha Walinda Amani wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SAMIDRC), wanaoimarisha ulinzi Mashariki mwa DRC sambamba na ...
Zimebaki siku kadhaa kuingia mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mwezi ambao hupambwa kwa swala na nyimbo mbalimbali za Kaswida. Ni ngumu mwezi huo kumalizika bila kusikia wimbo uitwao 'Ramadhan' ulioimbwa na ...
Alisafiri hadi Luanda siku ya Jumanne kukutana na Rais wa Angola Joao Lourenço, ambaye ameongoza juhudi za upatanishi za Umoja wa Afrika kusuluhisha mgogoro wa mashariki mwa nchi hiyo.
Zaidi ya watu 10,000 hadi 15,000 katika siku chache zilizopita, wamevuka mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na kuingia Burundi wakikimbia mvutano unaozidi kuongezeka na ghasia ...
TABIA Mwanjelwa, ni mmoja wa waimbaji wa kike wa mwanzo kabisa nchini Tanzania, ambeye amefariki dunia nchini Ujerumani, ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya miaka 35 tangu alipoondoka Afrika Mashariki ...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya na Uhalifu, Ofisi ya Kanda ya Afrika Mashariki (UNODC ROEA), imejipanga kuendelea kuimarisha ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani WFP leo limelaani vikali uporaji wa maghala yake ya chakula mjini Bukavu, Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. Katika taarifa ...
Dar es Salaam. Siku tatu baada ya kuahirishwa kwa vikao vya Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Spika wa Bunge hilo, Joseph Ntakirutimana amesema hakuna shughuli za Bunge hilo zilizosimama licha ya ...
31.01.2025 31 Januari 2025 Wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki hufurahia kitinda mlo hiki hasa majira ya jioni, kinaandaliwa kwa namna tofauti lakini walaji wanasema wanavutiwa zaidi na ile ...
Rais Cyrill Ramaphosa wa Afrika Kusini alizungumza na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusiana na hali ya mashariki mwa Kongo, ambako waasi wa M23 wanaaminika kuungwa mkono na serikali ya Kigali.