MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, jana walishindwa kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa suluhu na wageni MC Alger ya Algeria katika mchezo wa raundi ya sita, ...
KLABU ya Yanga imesema imepata somo na imejifunza kitu kutokana na kutolewa kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, hivyo viongozi watakaa na kusuka mipango mipya, ili msimu ujao irejee kwa ...
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani juzi, Jumamosi dhidi ya MC Alger ya Algeria.
Yanga inatarajiwa kushuka uwanjani kesho Jumamosi katika mchezo ulioshikilia hatma ya kwenda robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo na ikichemsha kwa kutoka sare ya ...
YANGA haitaki chochote Jumamosi hii zaidi ya ushindi mbele ya MC Alger. Hali hiyo imemfanya Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Sead Ramovic, kuchukua uamuzi mzito ili kuhakikisha wanatoboa. Ramovic ambaye ...
MAURITANIA;HESABU Yanga zimekubali. Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita kati ya Al Hillal na Yanga uliochezwa nchini Mauritania na Yanga kuibuka na ...
YANGA ipo Mauritania ambapo kuanzia saa 4:00 usiku leo Jumapili itashuka uwanjani kumalizana na Al Hilal ya Sudan katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini mapema mabosi wa klabu hiyo wameamua ...
DAR ES SALAAM; YANGA imeitangazia vita Al Hilal ya Sudan kwenye mchezo wa raundi ya tano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja Cheikha Ouldi Boidiya, Nouakchott, Mauritania. Ushindi kwenye mchezo huo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果